Usiogope

thank you for the message. Ingawaje wakati mwingine unaweza kuvutwa nyuma na usirudi tena.
 
in the bible usiogope IPO Mara 360. so kila siku katika mwaka tunaambiwa na Mungu USIOGOPE.
 
Thank u for the niiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiceeeeeeeeeeeeeee msg
 
thank you for the message. Ingawaje wakati mwingine unaweza kuvutwa nyuma na usirudi tena.

Ni kweli mkuu. Elastic material ya upinde ikikatika tunaingia kwenye ''ninge...''. Sioni uwezekano wa mtu kuzeeka bila sentensi za ''ninge...'' ila naamini ukiutumia vizuri ujana wako utakuwa nazo chache sana. Sio we kila kitu ninge. 'ningejua ningesoma', 'ninge oa yule', 'ninge acha yale mambo yetu mapema', muda ukipita umepita. Live Now. The Past and Future is Not Yours. You Only Have Now.
 

ushauri umechukuliwa kwa mikino miwili bila chembe ya puuzo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…