Usiogope G. Lema

Usiogope G. Lema

Siku zote anayekushauri ukafanye ujinga ni yule anayefanya ujinga...asiyevuta bangi kamwe hawezi kumshauri mwingine akavute.
 
Lema mwenyewe hupenda kusema,"Dhambi kuu kuliko zote Duniani nia Uoga".
 
Serikali zinaendelea na kazi ya msingi kuhakikisha nchi ina utulivu na jamani ili wanainchi wafanye kazi,biashara,wafuge,walime,wasome,wafanye siasa n.k

Serikali haingalii cheo cha mtu,utajiri,rangi yake,jinsi yake,DINI yake n.k wote wana haki dawa mbele ya sheria.

Hapo Arusha kinacho waangusha vijana ni mob pyschology,vijana na wakina mama wengi Arusha ni wachapa kazi sana wala hakuna Serikali inamuonea mtu ili mradi taratibu zinafuatwa.

Mh Lema atasimama mbele ya haki kujitetea mwenyewe wala si kwa niaba ya watu wa Arusha.

Kesi yake ni kesi binafsi haina maslahi na wapiga kura kwa aliyoongea kuhusu 'ndoto ya kifo cha Rais kabla 2020' kama tuhuma dhidi yake zinavyosema.
 
Kuna vitu vya kutetea jaman huyu mh. mp wakat mwingne anazngua katu siwez kumuunga mkono ktk hii kesi yk ya sahv hv unawezaj kumtabiria rais kifo hadharan kwa kisingzio cha maono? Maono yamemshndo mnigeria ww mvuta ganja utayaweza wp??? Kaa fanya mambo ya msng then wakukamate hapo tutajitoa kukutetea lkn sio kwa upuuz uliotenda safar hii... Hv kwa bahat mbaya ikitokea asasination utakataa vp kwamba huhusik...?
Nlikua nakuona wa maana kumbe u r jst a [HASHTAG]#dumbAss[/HASHTAG]
 
Haupo peke yako, be strong and more strong
Watanzania tupo nyuma yako
Tunajua unaonewa, unadhihakiwa

Serkal inajipima uungaji mkono kwa wananchi kipitia wewe

Sisi ukawa ni kama familia we talk the same language, we share the pain, we share the common interest

Your not alone G.lema, this sunday I will dedicate to you through prayers

Serkali inatengeneza sumu ambayo huko mbele itawaathiri wenyewe

Dhuluma haijawi kushinda haki
Acha uongo wewe,unamdanganya hayupo peke yake yake,wakati analiwa na mbu gerezani,wewe unamshindilia mabao mkeo,Bavicha acheni kuchuuzana,kama kweli unampenda Lema na upo nae,ulitakiwa siku ile mahakamani uje na upindue meza ili uende nae gereazani.
Mwenzangu anapata shida unatuma rambi rambi mtandaoni?atazisomea wapi?acha maigizo na kujifariji kwa upuuzi
 
wasiwasi wangu ni kwamba kama anaonewa, huko aliko atazidi kuomba dua na mwenyezi mungu atakubali dua zake na kushusha adhabu kubwa zaidi kwa waoneaji.
 
Acha uongo wewe,unamdanganya hayupo peke yake yake,wakati analiwa na mbu gerezani,wewe unamshindilia mabao mkeo,Bavicha acheni kuchuuzana,kama kweli unampenda Lema na upo nae,ulitakiwa siku ile mahakamani uje na upindue meza ili uende nae gereazani.
Mwenzangu anapata shida unatuma rambi rambi mtandaoni?atazisomea wapi?acha maigizo na kujifariji kwa upuuzi

Hao tunaosema tunawapenda wakiwa wamefariki kwanini tusiingie nao kaburini zaidi ya kuwatakia maisha mema hapa mitandaoni? Siasa za kipuuzi, unadhani matumizi mabaya ya mamlaka na ulevi wa madaraka uliopo kila mtu anaufurahia?
 
Haupo peke yako, be strong and more strong
Watanzania tupo nyuma yako
Tunajua unaonewa, unadhihakiwa

Serkal inajipima uungaji mkono kwa wananchi kipitia wewe

Sisi ukawa ni kama familia we talk the same language, we share the pain, we share the common interest

Your not alone G.lema, this sunday I will dedicate to you through prayers

Serkali inatengeneza sumu ambayo huko mbele itawaathiri wenyewe

Dhuluma haijawi kushinda haki
Mungu yuko upande wetu .
 
Hao tunaosema tunawapenda wakiwa wamefariki kwanini tusiingie nao kaburini zaidi ya kuwatakia maisha mema hapa mitandaoni? Siasa za kipuuzi, unadhani matumizi mabaya ya mamlaka na ulevi wa madaraka uliopo kila mtu anaufurahia?
Huyo kasema yupo nae,halafu lema hajafa,kwa nini asichukue hatua za kua nae gerezani ili kuonesha mshikamano?
 
Huyo kasema yupo nae,halafu lema hajafa,kwa nini asichukue hatua za kua nae gerezani ili kuonesha mshikamano?

Hao wanaosema wako pamoja na rais nao huwa wanashinda naye hapo magogoni? Siasa za uonevu sio sawa.
 
Lema hili limemkalia vibaya akome kuropoka hivyo, kama mpo nae pamoja mumshauri awe na kauli za kibunge siyo vijiweni. Na afungwe tu tumechoka
 
Nilikua nasikiaga akina Lisu wakisema kua UDICTETA uchwara,nimelazimishwa kuamini hili kwa kipindi kifupi xana.
 
Lema hili limemkalia vibaya akome kuropoka hivyo, kama mpo nae pamoja mumshauri awe na kauli za kibunge siyo vijiweni. Na afungwe tu tumechoka

Chuki haijengi! Nguvu hiyo ungetumia kujenga hoja wananchi tuondokane na kupanda Kwa garama za maisha zinazo sababishwa Na mikataba ya kinyonyaji ambayo inamuelemea mwananchi kila uchao! Bei ya Umeme inatarajiwa kupanda unayo habari?, maji hakuna Kwa maeneo mengi hapa Dar, madawa hakuna, Lema amekosa nini kinachogusa maisha ya MTz ?
 
Kwaani kule jela yupo na nani? Si yupo pekeyake? Hizo ndo kauli za kipuuzi. Ukumbuke wakati upo shule hata mkifeli darasa nzima hutakiwa kusema mbona tumefeli wote bali sema nimefeli kulingana na juhudi yako darasani. G.lema ni man alone

Wewe ndiye mpuuzi wa kutupwa kwani bandiko fupi lakini lenye ujumbe murua, kwa vile una akili za kuvalia nguo tu huwezi elewa.
 
Back
Top Bottom