Usioe mwanamke wa namna hii

Usioe mwanamke wa namna hii

13 ambaye hana chura

14 aliyetoboa pua

15 amesoma UDOM

16 anavaa sendo za manyoya

17 simu yake ina application za badoo na instagram


18 mwenye michirizi

19 single mother




Nimeongezea
 
Duuuh, mbona ghafla jamani?
Yaani hapo kila kitu ni kama vile umenielezea mimi, sema mimi siishi mkoa mmoja na wazazi.
 
Kuna umri fulani ukiwa nao utachagua chagua wanawake mpk basi, kila masharti utafuatilia..kuna umri ukifikia na pressure za mambo ya kuoa, masharti yote hayatakuwa na mashiko, utaangalia mambo madogo madogo ili upate kuoa tu.

Na wanawake ni hivyo hivyo tu. Kiufupi ni swala la muda tu
 
Anayetoka kwake anaenda Bar ,au kwa rafiki zake, kisha Wanaenda BAR kunywa Pombe....


HAKUNA MWANAMKE MLEVI ANAYEJITAMBUA....HAKUNA.




Oeni wanawake wenye Hofu ya Mungu, wanawake ambao, siku za ibada kwa waislam au Wakristo, au wayahud , utaona mwanamke anakuandaa muende kwa Mungu wenu, Utaona Anawandaa watoto waende kwa Mungu wao.


Hata Ndani ya Nyumba, utakuta mazingira yamekaa kaaa Kiutakatifu takatifuu, Kuna Biblia pale, vitabu vya Kidini pale, vitabu vyenye kujenga kabisa .


Hata vitu anavyochezea mtoto, utaona vinaakis utukufu wa Mungu


Jichanganye sasa, ubebane na WATU waliojichokea , watu waliokata tamaa ,walopitia milima na mabonde , WATU ambao imefika wakati maisha yao ni vile siku inavyokuja, Toto za Mujin, wao Jion wanamitoko, kurudi home ni SAA Tisa, wanavaa vile vikondom.....UTAJUTA KUZALIWA.


WEWE MWANAUME HATA KAMA UNA MAUOVU NA MAUJINGA, USIKUBALI KUOA MNAYEFANANA, TAFUTA MWANAMKE ATAKAYEZIBA PENGO LAKO.


sio Baba muhuni...Mama Muhuni....mtoto si atakua na matendo mpaka Shetani mwenyewe atakua anajishtukia.
 
Maskini mabinti wanapata vikwazo vya kuolewa kila siku
 
Back
Top Bottom