Usioe mwanamke wa namna hii

Usioe mwanamke wa namna hii

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,187
Reaction score
48,705
Habari!
Usioe mwanamke wa namna hii;
1. Anayevaa mawigi
2. Anayeweka kucha za bandia
3. Anayeweka kope za bandia
4. Anayevaa shanga kiunoni
5. Ana smart phone na hana kazi
6. Ana ghetto na hana kazi au ana ghetto na anaishi karibu na wazazi.
7. Aliyekuambia mfanye siri mlipoanza mapenzi.
8. Ambaye hataki kukupa password ya simu yake, au anabadili password mara kwa mara.
9. Anayevaa suruali yenye kuchanwa mapajani au magotini.
10. Ambaye anapenda sana kukuomba pesa.
11. Anayependa sana sherehe.
12. Ambaye anakunywa pombe ××××
 
Mkuu.....
Kama hayo yote hayafai, basi nimegundua kwanini mashoga wanaongezeka...🧐
Mkuu kwa hiyo wewe demu anayepiga kinywaji unaweza kumuoa?
Ukisafiri akisema akaburudike baa ya karibu na kwenu lazima atamegwa genye zikimpanda.
Hilo lazima ujue
 
Kuna nyongeza hizi 🤣🤣🤣


 
Back
Top Bottom