Usioe hili kabila kama huna msuli

Usioe hili kabila kama huna msuli

Nduka Original

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,012
Reaction score
817
Naongea kwa uzoefu hivyo usije ukaja tu majibu yako ya ina tegemea, let's be realistic with what we have been experiencing. Kabla huja-comment refer to yourself, your friends or your relatives who have got married to this tribe.

Ni wanawake wazuri kwa sura na pia wanajituma sana katika kutafuta maisha, shida zao ni kama zifuatazo:

1. They are cash driven
2. Wababe
3. Wanapenda kumtawala mwanaume
4. Hawajali nyumba
5. Hawajali ndugu
6. Upendo pia si kivile kama huna mpunga
7. etc ect unaweza kujaza

I don't mean to say that you shouldn't get married to the women from this tribe no, but you need to take those challenges into consideration and note that it may also be difficult to tackle them and that's why the marriage get broken.

All in all you should play your card very smart so as to get it balanced. Mine I have in the marriage for 13 years now with a Machame woman but I have encountered a lot of challenges.
 
Ulifungwa kamba kuoa hilo kabila ? kwanini hukuoa kwenu? ? eti wanatawala wanaume kama umetawaliwa andamana kudai uhuru wako..au unataka nyerer afufuke aende uingereza kudai na uhuru wa nyumba yako kama alivokuombea uhuru wa nchi...kwa thread hii hayo unayopitia yanakustahili kabisa..mume aishi kama mume apate heshima yake ..mume akiishi kama mke apewe yanayomstahili pia!
 
Hivi mechi ya kesho kati ya Man United na Arsenal itakuwa saa ngapi? Maana hizi thread za Chaga women tumeshazichoka.
 
Wewe ni mchovu ndiyo maana unalialia huku

Ndo mana nikasema kabla huja comment chochote fanya reference kwanza kwa watu ulionao karibu, mimi nina experience ya ndugu jamaa na marafiki and I know how they have been hassling.
 
Kila binadamu anatabia yake sio kweli kila mwanamke wa kinachame anatabia hizo.Hata yale makabila wanawake wao ni wataalam wa viuno sio wote wapo fit kuna baadhi wanakasoro tusiwaogope wamachame wote ila kama amekushinda mpe chake tafuta wa kabila lako ila hata huyo atakua mwanamke
 
Mkuu umenigusa mnooo. Yaani unachoniongelea ndio ninachokumbana nacho sasa hivi. Yaani hizo tabia ulizo bainisha ni za ukweli mtupu. Yaani utafikiri unaona what am going through ryt now.
 
Ulifungwa kamba kuoa hilo kabila ? kwanini hukuoa kwenu? ? eti wanatawala wanaume kama umetawaliwa andamana kudai uhuru wako..au unataka nyerer afufuke aende uingereza kudai na uhuru wa nyumba yako kama alivokuombea uhuru wa nchi...kwa thread hii hayo unayopitia yanakustahili kabisa..mume aishi kama mume apate heshima yake ..mume akiishi kama mke apewe yanayomstahili pia!

Bravo .....!
 
Mkuu umenigusa mnooo. Yaani unachoniongelea ndio ninachokumbana nacho sasa hivi. Yaani hizo tabia ulizo bainisha ni za ukweli mtupu. Yaani utafikiri unaona what am going through ryt now.

Si mchezo hawa jamaa aisee, lakini ni kupambana tu
 
Tujaribu ku list celeb ambao wameoa wachaga kisha evaluate ndoa zao

1. Ben Mkapa
2. Salmin Amour
3. Reginald Megi
4. Jenerali Ulimwengu
5
6
7
8
9
10
 
Ndo leo unajua mkuu?!.Siku hizi,huna hela mapenzi hakuna,ni unafiki tuu!.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom