Usioe familia ya mwanamke maskini, yamenikuta

Niambie Tu

Senior Member
May 29, 2022
162
272
Wakuu..

Nimechafukwa hapa nimerudisha mpira kwa kipa sina kazi na madeal yamekata kabisa.

Mwanamke niliyekuwa naishi naye amejifungua yuko nyumbani.

Nyumbani wanasema sana nimeyakimbilia Maisha sawa nimekubali ila nimewambia na hiki kiumbe mnataka nikitupe.

Kiukweli Vijana wenzangu naombeni Tujitahidi kutafuta wanawake wenye Hela au waliotoka familia Tajiri wanatupunguzia utafutaji ya maisha.

Nitafute hela kwa ajili ya familia yangu,ya wazazi wangu na mke wangu kwao ni maskini wa kutupwa.

Je, laki 3 ninayoipata nitampa nani !?na kumwacha nani?!
 
Kiukweli Vijana wenzangu naombeni Tujitahidi kutafuta wanawake wenye Hela au waliotoka familia Tajiri wanatupunguzia matafutaji ya maisha.

Nitafute hela kwa akili ya familia yangu,ya wazazi wangu na mke wangu kwao ni maskini wa kutupwa.

Je laki 3 ninayoipata nitampa nani !?na kumwacha nani?!
Pata pesa kwanza, ndo uanze kuzalisha watoto wa watu, acha kusingizia familia za watu buana.
 
Kuwa makini kijana. Mwanaume shababi hakimbii majukumu, anapambana

Ukianza kuwaza hivyo unavyowaza maana yake unataka kusaidiwa majukumu yako. Ukikosa mwanamke Tajiri huyo unayemtaka utawaza kusaidiwa na mwanaume mwingine tu
 
Wakuu..

Nimechafukwa hapa nimerudisha mpira kwa kipa sina kazi na madeal yamekata kabisa.

Mwanamke niliyekuwa naishi naye amejifungua yuko nyumbani.

Nyumbani wanasema sana nimeyakimbilia Maisha sawa nimekubali ila nimewambia na hiki kiumbe mnataka nikitupe.

Kiukweli Vijana wenzangu naombeni Tujitahidi kutafuta wanawake wenye Hela au waliotoka familia Tajiri wanatupunguzia utafutaji ya maisha.

Nitafute hela kwa ajili ya familia yangu,ya wazazi wangu na mke wangu kwao ni maskini wa kutupwa.

Je, laki 3 ninayoipata nitampa nani !?na kumwacha nani?!
Kwani kipindi unamtokea hukujua maisha ya kwao au ulioa kwaajili ya kutuliza nyege?
 
Wakuu..

Nimechafukwa hapa nimerudisha mpira kwa kipa sina kazi na madeal yamekata kabisa.

Mwanamke niliyekuwa naishi naye amejifungua yuko nyumbani.

Nyumbani wanasema sana nimeyakimbilia Maisha sawa nimekubali ila nimewambia na hiki kiumbe mnataka nikitupe.

Kiukweli Vijana wenzangu naombeni Tujitahidi kutafuta wanawake wenye Hela au waliotoka familia Tajiri wanatupunguzia utafutaji ya maisha.

Nitafute hela kwa ajili ya familia yangu,ya wazazi wangu na mke wangu kwao ni maskini wa kutupwa.

Je, laki 3 ninayoipata nitampa nani !?na kumwacha nani?!
Wewe ni mpumbavu. Hadi mwanamke anajifungua hukujipanga? ulitegemea nani aje akubebee huo mzigo??

Kwahiyo ukojoe wewe na gharama za malezi azitoe mwanamke?

Wewe ni mpumbavu tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom