Usintafute...

MJ1 Mzima wee mdada?

Abee Da mkubwa.

Sijagongana nawee kwenye threads kitambo, nimefurahi leo nimekupata hapa.
Kwa hilo naamini u-mzima wa afya kabisa.... As well as me.

Kheri ya Mwaka Mpya MJ1... May 2012 be one of your BEST!

Sijambo mdada habari ya wewe jamani!! Am in love nakutafuta kwa ushauri lol.

Aksante Da Mkubwa mwanga wa 2012 ushaanza kuniwakia because of your well wish. Aksante sana
Nichagulie color of the year Dadangu.............lol am flying in the sky

I love people in Love.... come this way ni do the needful Dearest.....

OMG!!! Kweli mdogo wangu is in Love jamani..... Dah! Unaniumiza hio suspense.... Hebu sema rafiki...



Hahahahha Da Mkubwa bwana kwka kutega, unajua kabisa nikiwa nawe pekee sitaficha kitu mwe nitakumwagia kila kitu. Bora awepo shem kidogo nitaficha mengine bana hahahahaha

Hivi unajua hua sinaga 100% concetration kwa wengine shem wako akiwa around? sema uzuri hata yeye hufaa kwenye ushauri hivo maybe aweza saidia.... Lini sasa dear?
Hey..............!!!:focus:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…