Usiniulize nimeipata wapi...

....kaafande kana tom*ewa vichakani halafu isikute mumewe ana muheshimuuu kama bonge la wife!
 
mbona namba za utambulisho hazionekani kwa wote? mashaka kama sio za photoshop
 
Hiyo ni hulka ya mtu tu kaka, hata akibaki nyumbani pia anaweza akafanyia humohumo ndani

Hapana....kubaki home ni tofauti sana na kufanya kazi... Si tunao tunafanya nao kazi??
 
Mapenzi ni matamu jamani. Wao wameona bora denda kuliko notifications.
 
Kaafande kamelegeaa kanasikilizia lita tu.
 
Pasco kwanza nimekumiss sana kwenye post zangu
SASA: Hapo kuna makosa mawili makuu
Kosa la kwanza: kuselebuka na mavazi rasmi ya Jamhuri
Kosa la pili: bidada ni make wa mtu, angalia kavaa pete ya ndoa
NA HIYO NDIO BREAKING NEWS YENYEWE

Mshana Jr.
 
Last edited by a moderator:
Hapa ndio najua kwanini mke hatakiwi kufanya kazi, anatakiwa akae ndani apike

Hahahahaaaaa utafiti kumbuka kuna wauza nguo na mbogamboga majumbani, wauza genge na mahouseboy
 
Last edited by a moderator:
Cha wizi kitamu jamani nyie acheni tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…