Usiniite mzembe.

Usiniite mzembe.

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,326
Reaction score
3,446
SNAG-14031817244700.png
 
Lakini hili la ndege itakua ni ajabu la 9 la dunia, ndege inapoteaje jamani?
 
lakini hili la ndege itakua ni ajabu la 9 la dunia, ndege inapoteaje jamani?
jiulize sasa alafu katika ulimwengu ambao tunaambiwa una kila kitu eti wamarekani wanasatelite ambazo wanajua mpk tunachoofanya tukiwa chumbani kwetu sasa sijui inakuwaje ndege inapotea.
 
jaman, hebu give a break to the flight, raia8 mida fulani iliuliza kama ndo ilikuwa yenyewe pale pich ya ndege kibaha
 
Acheni mizaha wakuu na hii issue!
Maisha ya binadamu wenzetu 239 yako shakani, tuwaombee wawe salama badala ya kuwatumia kuleta mizaha!
 
kama ingekuwa imetolewa dollar M mojo raia8 angesema ndo yenyewe harafu wangekuja kuitambua, kivumbi kingetokea pale, wakikuta abiria sio


atakuwa watu8!ila ile wamalaysia wamesema si yenyewe!balozi wao alienda kujarubu kuitambu akasema siyo!
 
Acheni mizaha wakuu na hii issue!
Maisha ya binadamu wenzetu 239 yako shakani, tuwaombee wawe salama badala ya kuwatumia kuleta mizaha!
mkuu wewe hili swala la ndege kupotea halikushangazi kwenye dunia ya sasa ya teknolojia,mtu anaweza kujua message zako za kwenye simu hata akama hajashika simu yako,sembuse kupotea kwa ndege!! we are just trying to be curious in other way.
 
Back
Top Bottom