mzawahalisi
JF-Expert Member
- Jan 11, 2010
- 752
- 238
We Amu asprin katoka wapi hapa?,
Vivian kufika saa kuminambili narobo nckujua kilichotokea kidogo nichelewe kazini nimeshtuka saa Moja na simu tupa kule! haya mavitu inafaa nipige siku kama ya leo hata ikipitiza kesho haina mbaya.
Ha ha ha Mshana Jr ushauri wako mzuri, tena siku hizi nimeona viroba vya Amarula vinaitwa Zanz sijui Zenji nadhani itabidi niweke stock Chumbani.
mzawahalisi we mzoefu aiseesijajua vinauzwaje, ila ni vizuri kwa yale maclub yanayo tuuzia vinywaji mara nne ya bei. Ukiviweka mfukoni hata watumie mashine gani hawavikamati, ukizama unaomba Ice kwenye glass unajifanya mkemia saaafi. Huku unakula burudanii mshana jr
^^
Chezea pombe wewe unaweza piga mtama mti.
Au unalala mtaroni ukiulizwa mbona umelala hapa? unasema nilikuwa napiga pushup
^^
hahahahahahaaa, REST IN PEACE POMBE!!!
^^
I rest in hell kabisaaa Mambo ya kula chakula cha usiku kinapitiliza utadhani kuna lami !!
Halafu unaona wake watano watano kumbe ni mmoja tu.
Loo! To hell
^^
hahaha!!!!!! Ilikutokea nini?
^^
Mi na pombe ni kama mbingu na ardhi,
Nawaona tu jinsi wanavyopiga hatua 7 mbele 10 nyuma huku wanaimba Ya nini Malumbano.
^^
Kuna jamaa aliwahi kulala kwenye Miiba,ile anashtuka Dogi linamlamba matapishi yake.Jamaa akalalamika.Mbona hii Gesti niliyolala ina Kunguni hivi..??Na huyu mpenzi anayenikiss ni yupi..??^^
Chezea pombe wewe unaweza piga mtama mti.
Au unalala mtaroni ukiulizwa mbona umelala hapa? unasema nilikuwa napiga pushup
^^