Usingizi umepaaaaa

symwo bado upo ama unamwaga denda kwa pillow saiv?
 
Last edited by a moderator:
tuko wengi
nahangaika kudownload 24 Live Another day naona kickass inanigomea nimeboreka na nilikuwa naham kweli ya kumuona jack bauer na chloe sijui nifanyeje hebu anza kudown load unifundishe njia??
mmmh ushalala?
 
Ukiona hupati ucngz cku kama hizi za mvua jua mwili unataka kulaliwa
 
ntakudownloadia afu nikutumie this weekend
 
ntakudownloadia afu nikutumie this weekend

pokea shukrani zangu za moyoni mdogo wangu wa moyoni.............
yaani ntafurah sana sijui nisemeje kaka mzuriiiiiii

barikiwa sana sana mdogo wangu wa moyoni.
nakupenda sana
 
pokea shukrani zangu za moyoni mdogo wangu wa moyoni.............
yaani ntafurah sana sijui nisemeje kaka mzuriiiiiii

barikiwa sana sana mdogo wangu wa moyoni.
nakupenda sana
maneno yako kwakweli yananifanya nianze kukudownloadia sasa ivi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…