C6 mdogo wangu wa moyoni, nakupenda kuliko pipi kaka mzuri.............
naomba udownload iyo muvi unitumie wangu yaani nafwa kwa kihoro mimi nimejaribu nimejikuta napata makorokocho usipime mwisho avast ikaniambia imedetect threat nikaogopa na kuicommand iache kulitafuta ilo file.
plzzzzzz kaka mzuri do me a favor............nakupendajeeee sasa?
Last edited by a moderator: