kumbe hujui kwamba imeendelea kutoka pale ilipoishia season 8??
FYI leo imeanza kuonyeshwa season 1 ikiwa ni muendelezo na ikaitwa 24 live another day ukiitafuta kwenye kickass utaipata iko mpaka season ya 2 ila sijaweza kuidownload mimi nafkiri ni kwasababu mie ni kilaza wa IT