Bati nzuri ya kupaua Mwanza

the muter

JF-Expert Member
Oct 31, 2012
1,314
1,746
Habari wadau naomba kujua aina gani ya bati za msouth ndio nzuri na imara, zinachelewa kutoa rangi, kama unajua na bei Yake Kwa gauge 30 itapendeza. Nipo mwanza
 
Nimenunua Mwanza gauge 30 bei ilikuwa 26000 kwa kila bati ila nilipunguziwa buku kwa kila bati
 
Back
Top Bottom