usingizi mwanaharamu

usingizi mwanaharamu

queen of sorrow

Senior Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
130
Reaction score
40
nisaidieni huyu mtu amelala au
 

Attachments

  • 1399884467202.jpg
    1399884467202.jpg
    14.8 KB · Views: 1,428
Nimeipenda mipua yake tu leso anahifadhi humo humo lol!
 
Kuna msemo "usingizi ni mfalme", yaani utakutawala tu. Ndio kama huyo jamaa, wala hajijui. 🐛
 
Kuna watu wana dhambi humu duniani acha tu ndio nini mtu kumpiga picha mwenzio na kumfanya kituko? Hata haichekeshi
 
Hizo sasa ndio raha za usingizi kwan hauchagui pozi
 
Back
Top Bottom