Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,415
- 12,628
Teh teh..Na hapo ukimdisturb zen aamke unaweza usilale ww..
Usimchanganye kabisaa, we mwache alale zake hivyo hivyo.
Teh teh..Na hapo ukimdisturb zen aamke unaweza usilale ww..
Heheheheeee
maha ha ha![]()
Aliyelala kwenye ATM machine ningemkuta.....Umependa ipiii?
Aliyelala kwenye ATM machine ningemkuta.....
ndiyo huwezi tena mkuu .. sasa we niwakati wako wa kutengeneza mototoNatamani kurudi nyuma kua kama mtoto
ma
Kumbe.. nina usongo na mapesaSiyo ATM ni kibanda cha simu!
Umeonaeeee natamani tu!ndiyo huwezi tena mkuu .. sasa we niwakati wako wa kutengeneza mototo
Daa kweli haeleweki!Huyu mtt sijamuelewa
Wakati ukifika utamuelewa tu!!!.Huyu mtt sijamuelewa
Ulidhani mjinga?Huyo kwenye tairi anatafuta lawama
Hahahaha hapo sawa maanaUlidhani mjinga?
Yy ndo suka na ufunguo kaweka mfukoni
Atakuwa wa kike huyu!!ha ha ha![]()
Usikute yeye Ndio dereva na funguo zipo mfukoni kwake!Huyo kwenye tairi anatafuta lawama
Kama ndo hivyo ni sawa. Hiyo ni hatariUsikute yeye Ndio dereva na funguo zipo mfukoni kwake!