Raimundo JF-Expert Member May 23, 2009 13,416 12,611 Apr 1, 2016 #3 Kaboom said: View attachment 333976 View attachment 333977 View attachment 333980 View attachment 333981 Click to expand... Namwona Benny picha kalalia tyre...! Sasa sijui alikuwa analinda gari lisiibiwe!
Kaboom said: View attachment 333976 View attachment 333977 View attachment 333980 View attachment 333981 Click to expand... Namwona Benny picha kalalia tyre...! Sasa sijui alikuwa analinda gari lisiibiwe!
Bailly5 JF-Expert Member Mar 11, 2015 16,402 35,083 Apr 1, 2016 #5 Huyo kwenye tairi anatafuta lawama
Kaboom JF-Expert Member Nov 6, 2011 10,828 14,996 Apr 1, 2016 Thread starter #6 Raimundo said: Namwona Benny picha ya kalalia tyre...! Sasa sijui alikuwa analinda gari lisiibiwe! Click to expand... Teh teh..Hapo atakuwa alishapiga vyombo tayari
Raimundo said: Namwona Benny picha ya kalalia tyre...! Sasa sijui alikuwa analinda gari lisiibiwe! Click to expand... Teh teh..Hapo atakuwa alishapiga vyombo tayari
Kaboom JF-Expert Member Nov 6, 2011 10,828 14,996 Apr 1, 2016 Thread starter #8 Th Name said: Huyo kwenye tairi anatafuta lawama Click to expand... Teh teh..Anasummary maisha yake huyo
Th Name said: Huyo kwenye tairi anatafuta lawama Click to expand... Teh teh..Anasummary maisha yake huyo
Raimundo JF-Expert Member May 23, 2009 13,416 12,611 Apr 1, 2016 #9 Kaboom said: View attachment 333985 View attachment 333986 Click to expand... Dah, huyo dogo mwenye miwani yenye macho katisha. Yaani kama akiivaa vizuri unajua yuko macho kumbe kambonji.
Kaboom said: View attachment 333985 View attachment 333986 Click to expand... Dah, huyo dogo mwenye miwani yenye macho katisha. Yaani kama akiivaa vizuri unajua yuko macho kumbe kambonji.
Kaboom JF-Expert Member Nov 6, 2011 10,828 14,996 Apr 1, 2016 Thread starter #10 miss chagga said: ha ha ha Click to expand... Huyu mtt sijamuelewa
Bailly5 JF-Expert Member Mar 11, 2015 16,402 35,083 Apr 1, 2016 #11 Kaboom said: Teh teh..Anasummary maisha yake huyo Click to expand... Hahahaha kweli aisee. Huyo aliyelala kwenye kabati
Kaboom said: Teh teh..Anasummary maisha yake huyo Click to expand... Hahahaha kweli aisee. Huyo aliyelala kwenye kabati
Raimundo JF-Expert Member May 23, 2009 13,416 12,611 Apr 1, 2016 #13 Kaboom said: Teh teh..Hapo atakuwa alishapiga vyombo tayari Click to expand... Ha ha ha, Benny katisha. Namwona douta Heaven Sent enzi za utoto wake.
Kaboom said: Teh teh..Hapo atakuwa alishapiga vyombo tayari Click to expand... Ha ha ha, Benny katisha. Namwona douta Heaven Sent enzi za utoto wake.
Kaboom JF-Expert Member Nov 6, 2011 10,828 14,996 Apr 1, 2016 Thread starter #14 Raimundo said: Dah, huyo dogo mwenye miwani yenye macho katisha. Yaani kama akiivaa vizuri unajua yuko macho kumbe kambonji. Click to expand... Mission failed
Raimundo said: Dah, huyo dogo mwenye miwani yenye macho katisha. Yaani kama akiivaa vizuri unajua yuko macho kumbe kambonji. Click to expand... Mission failed
Kaboom JF-Expert Member Nov 6, 2011 10,828 14,996 Apr 1, 2016 Thread starter #15 Raimundo said: Ha ha ha, Benny katisha. Namwona douta Heaven Sent enzi za utoto wake. View attachment 333993 Click to expand... Huu mlalo wa Douta nimeupenda kwakweli
Raimundo said: Ha ha ha, Benny katisha. Namwona douta Heaven Sent enzi za utoto wake. View attachment 333993 Click to expand... Huu mlalo wa Douta nimeupenda kwakweli
Raimundo JF-Expert Member May 23, 2009 13,416 12,611 Apr 1, 2016 #16 Kaboom said: Huu mlalo wa Douta nimeupenda kwakweli Click to expand... Watoto noma, mi mwanangu analala miguu anakanyaga usoni kwa baba halafu kichwa amemlalia mama yake.
Kaboom said: Huu mlalo wa Douta nimeupenda kwakweli Click to expand... Watoto noma, mi mwanangu analala miguu anakanyaga usoni kwa baba halafu kichwa amemlalia mama yake.
Kaboom JF-Expert Member Nov 6, 2011 10,828 14,996 Apr 1, 2016 Thread starter #17 Raimundo said: Watoto noma, mi mwanangu analala miguu anakanyaga usoni kwa baba halafu kichwa amemlalia mama yake. Click to expand... Teh teh..Na hapo ukimdisturb zen aamke unaweza usilale ww..
Raimundo said: Watoto noma, mi mwanangu analala miguu anakanyaga usoni kwa baba halafu kichwa amemlalia mama yake. Click to expand... Teh teh..Na hapo ukimdisturb zen aamke unaweza usilale ww..
Bailly5 JF-Expert Member Mar 11, 2015 16,402 35,083 Apr 1, 2016 #19 Kaboom said: View attachment 333991 View attachment 333992 Click to expand... huyo dogo kwenye TV mmh
Kaboom said: View attachment 333991 View attachment 333992 Click to expand... huyo dogo kwenye TV mmh