Usingizi hauna adabu usingizi jamani mtamu

Usingizi hauna adabu usingizi jamani mtamu


Mzee wa CCM

Hakuna kitu kizuri Duniani kwa binadamu kama usingiz je wewe unapata usingizi kama huyu mzee aliye lala hapa?

Mzee wa CCM hajalala,anavuta fikra tu, hapo anafaidi maisha bora kwa ari mpya!

Unajua mkuu, huyu mzee hajalala, isipokuwa ,kwa uzee wake, nguvu ya kasi mpya imetia maruerue na anayaona maisha bora yanamsogelea.
 
diouf.jpg


Huyu Diof sio usingizi yeye anabembea!!!
 
Huyo musee anaweza akarushiwa kitu kizito chenye ncha kali asipokuwa makini!!
 
usingizi kama huo huingiwa na dosari pale unapoota unakimbizwa na simba alafu masharubu ya simba yameanza kukugusa mgongoni. ghafla unaangukia kwenye shimo ambalo halina mwisho. teh teh teh ukiamka unashukuru sana ukigundua ilikuwa ni njozi
 
hapo ni taabu tupu cuz wen u wakeup u wl find some pains all ova ur budy cuz ya kujikunja hivyo
 
Back
Top Bottom