Aminaaaaaa.. Hallelujah!!!Ubishi mwingi matokeo yake ni ndoa kutokudumu. Hali ya sasa hivi ya uimara wa ndoa ni mbaya sana kwa sababu ya mitandao. Tunaanika mahusiano ya ndani ya chumba kwenye mitandao ya kijamii. Na humu JF kuna bandiko kadhaa zinazohusu hayo mambo ya ndani. Na imefikia hata kuweka picha.
Tuombe maadili mema ili kudumisha furaha ya ndoa na mahusiano