Usimueleze mtu mipango yako na mafanikio yako

Foffana

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2022
Posts
2,829
Reaction score
4,699
Usimueleze mtu mipango yako kabla hujakamilisha kwa ground wachawi wengi japokuwa hawashiki tunguli

Watu wetu wa karibu ndo huwa wanatuharibia michongo yetu siku zote, usimuelezee yoyote kuhusu plans zako

Usimuelezee mtu kuhusu hatua zako unazopiga kimaisha kuna watu wana vijicho akikuwekea ngumu hautoboi

Umepata kazi kwenye kampuni kubwa sio lazima ukoo wote ujue unaweza usiamke kesho yake

Umepata deal la kwenda majuu usiropoke ropoke kila mtu ajue wewe kimya kimya sepa zako wajue watu wachache muhimu tu

Wachawi wengi
 
H

Hizi fact zinafanya kaziii sanaa kwenye jamii nyingi katika third world countries sana sana kwa mtu MWEUSI/ BLACK PEOPLE.

NI VICE VERSA KWA CIVILIZED SOCIETY HUKO EUROPE & AMERICA KULE EDUCATION AND MAJORITY WAME BE CIVILIZED HAWANAGA HIZI MAMBO ZA CHEAP LABOUR THINKING 🤔

NGOJA NIENDELEE KUWA KIMYA KWENYE HII DREAM YANGU NIMEBAKIZA STAGE MBILI TU YAANI MUNGU AWE UPANDE WETU KIKUBWA NI KUPAMBANA KUWA CEO WA MAISHA YAKO.
 
Haya mambo ya huku kwetu tu watu weusi!
Kule Ulaya watu wanaelezana kila kitu kila stage ya kuanzisha biashara hata kabla ya kununua vitu /Mali na hamna kinachotekea zaidi ya kuzidi kufanikiwa.!!
Uafrika ni laana!
 
Uafrika ni LAANA
 
Usimueleze mtu mipango yako kabla hujakamilisha kwa ground wachawi wengi japokuwa hawashiki tunguli

Watu wetu wa karibu ndo huwa wanatuharibia michongo yetu siku zote, usimuelezee yoyote kuhusu plans zako

Usimuelezee mtu kuhusu hatua zako unazopiga kimaisha kuna watu wana vijicho akikuwekea ngumu hautoboi

Umepata kazi kwenye kampuni kubwa sio lazima ukoo wote ujue unaweza usiamke kesho yake

Umepata deal la kwenda majuu usiropoke ropoke kila mtu ajue wewe kimya kimya sepa zako wajue watu wachache muhimu tu

Wachawi wengi
Hii ni true, coz imewahi nitokea nilikuwa na toxic friends kila wanapojua mipango yangu ya baaday vitu vinaanza kuenda awry
 
Usimueleze mtu mipango yako kabla hujakamilisha kwa ground wachawi wengi japokuwa hawashiki tunguli

Watu wetu wa karibu ndo huwa wanatuharibia michongo yetu siku zote, usimuelezee yoyote kuhusu plans zako

Usimuelezee mtu kuhusu hatua zako unazopiga kimaisha kuna watu wana vijicho akikuwekea ngumu hautoboi

Umepata kazi kwenye kampuni kubwa sio lazima ukoo wote ujue unaweza usiamke kesho yake

Umepata deal la kwenda majuu usiropoke ropoke kila mtu ajue wewe kimya kimya sepa zako wajue watu wachache muhimu tu

Wachawi wengi
It's true Rayns nimejifunza kitu kimoja ukiamua kupambania ndoto zako stay consistent na usiangalie nani atakuonaje

Let them watch because they're
 
Facts tupu!

Hii imenikuta sana!
Hasa jamii zetu hizi za kiafrika!!

Tumejaa wivu, kijicho, roho mbaya, majungu na unafiki, hatutaki maendeleo ya wengine, mwenzako akifanikiwa kidogo tu kosa! Roho inakunyongorota mpaka unapata kiungulia.

Kuanzia majumbani, maofisini watu wanapigana majungu, kutunguana hata kurogana! Ofisi za waafrika ukiwa na akili nyingi au mtendaji bora wanakuroga! Utasikia amekuwa kichaa, alikuwa kipanga darasani, akili ikizidi unakuwa mwehu! Kumbe wapiii wivu tu, wakurungwa wameshafanya yao tayari! Kazini hivyo hivyo, kapandishwa cheo, au kapewa promotion kwenda nje, ghafla kapigwa na kiarusi / stroke!

Waafrika sijui tuna laana gani, ngozi nyeusi na roho nyeusi pia! Hakuna mtu anayependa maendeleo yako labda mamayako mzazi aliyekuzaa!!

Kuwa makini sana kumweleza mtu mafanikio yako/mipango yako/siri zako kwani

"ADUI WA MTU NI WALE WA NYUMBANI KWAKE MWENYEWE!!"

Wema wako unaweza kuzaa ubaya!!

"MPENDE KILA MTU LAKINI USIMWAMINI KILA MTU, WAHESHIMU WATU WOTE LAKINI USIWAOGOPE!!"
 
Back
Top Bottom