Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,189
- 3,548
Hii ni Amri ya NANE kati ya AMRI KUMI ZA MUNGU.
Usimshuhudie jirani yako uongo*: Hivi karibuni wenzetu wachache wanaenda kutenda DHAMBI HII KUBWA.
Kama ni kweli kwanini USHUHUDIE KWA KUJIFICHA?
Yaani sasa hivi mko busy mnafanya rehearsals za USHAHIDI WA UONGO kwa kulipwa SHEKELI. Yuda Iskariote alifanya usaliti kwa Bwana wetu YESU KRISTU mwisho wake aliishia kujuta na akajiua.