Usimrudie Mwanamke aliye-cheat , Never!

Zinaa au Uzinzi (Kiarabu: الزنا) ni kujamiiana (kukutana kimwili) baina ya mwanaume na mwanamke bila ya kuweko mkataba wa ndoa baina yao.
Tendo la zinaa ni katika madhambi makubwa na kuwa kwake haramu ni katika mambo yaliyo wazi na bayana na ambayo hayana shaka ndani yake. Adhabu ya zinaa au mzinifu inatofautiana kulingana na mazingira yake. Adhabu ya mseja na kapera (mtu ambaye hajaoa au hajaolewa) ni kuchapwa mijeledi 100, adhabu ya mzinifu mwenye mume au mke ni kupigwa mawe na adhabu ya kufanya zinaa na maharimu wa nasaba na kubaka ni kifo.

Kwa mujibu wa fat'wa za mafakihi, kitendo cha zinaa kinathibiti kwa mzinifu kukiri bayana na kuweko ushahidi wa mashuhuda na zinaa haithibiti kwa kufanyiwa vipimo vya kidaktari. Kuna hukumu mbalimbali kuhusiana na zinaa. Miongoni mwa sheria na hukumu hizo ni kwamba, kufanya zinaa na mwanamke aliyeolewa au aliyeko katika eda ya talaka rejea, hupelekea kuwa haramu milelele kwa maana kwamba, wawili hao katu hawawezi kuoana tena.
 
Enzi hizo kabla ya Dini hizo zilizoletwa na majahazi Wazee wetu walikua wanabanduana tu hakuna cha Msikiti wala Imamu nanu Ndoa za kimila wake 20 wake 30 alafu fresh tu, njoo tuchome Jaji Mfawidhi nimewasha moto mkubwa
 
Kua uyaone
 
ndio sababu hata wengine wanaona afadhali aoe bikra kwa maana hawezi kulala na mtu ambaye kila wakati mawazo ya kuliwa kabla mkewe yatamjia kichwani,ni uwezo tu wa kubeba mambo tunapishana.

Wengine wanaua kabisa.
 
Dah! Huwa inaumiza sana kwakweli ni bora kama ukimfumania ukaachana nae tu
 
Unasema kumrudia, watu wanawaomba hadi msamaha cheaters.... na vilio juu
Km hakugomei kumgonga haina shida Ila shida inakuja akianza kugoma kugongwa hapo ndio unasikia mtu kachinjwa yaan wewe unaninyima kitumbua Mimi halafu unaenda kulipa lihuni limoja huko mtaani
 
Km hakugomei kumgonga haina shida Ila shida inakuja akianza kugoma kugongwa hapo ndio unasikia mtu kachinjwa yaan wewe unaninyima kitumbua Mimi halafu unaenda kulipa lihuni limoja huko mtaani
Yaani unamchinja kisa kakunyima litumbua? Huo nao wehu wa kimataifa. Yaani uko radhi uende jela maisha kisa dubwasha lililojaa mitaani?
 
Halafu wanaume mabwege kama wewe huwa mnasifiwa kweli na wanawake, ila amini na kwambia hakuna mwanamke yeyote humu ambaye atataka mtoto wake wa kiume awe na akili kama zako
Mkuu hiyo dunia unayoizungumzia siku hizi haipo, dunia iliyopo sasa kila mtu ana mchepuko cha umuhimu ni siri Tu, pili usiishi maisha ya kuangalia watu wanasema nini ishi maisha wewe unataka nini, maana siku likikufika ni lako halimuhusu mama yako, Baba, ndugu au jirani, Kwa hiyo Fanya kitu ambacho hutokuja kujutia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…