Usimnyang'anye mwanamke mtoto

Hata hivyo sheria inasema mtoto anakaa na mama mpaka miaka Saba ndipo uwe na uamuzi wa kumchukuwa. Ustawi wa jamii upo macho kuhusu hilo.
Hata hivyo sheria inasema mtoto anakaa na mama mpaka miaka Saba ndipo uwe na uamuzi wa kumchukuwa. Ustawi wa jamii upo macho kuhusu hilo.
Kasome tena sheria hiyo wewe na hapo ndipo watu wengi wanapokurupuka kwa ufupi tu ,unaweza kumchukua mtoto hata wa mwezi mmoja kwa mama yake .
 
Huwezi kuwa na uchungu wa mtoto Kama Mama yake wewe mpuuzi
Hapo ndipo umekosea ndugu naamini mimi nina uchungu na kijana wangu kuliko mama yake ,basi yaliyotokea ni historia ila dunia duara yakija kukukuta utaelewa tuliopitia hilo suala la mtoto na mama.
 
Hivi ukizaa na mwanamke chizi nini chakufanya?

Naomba muongozo tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nakupinga mkuu.. kama ni Mtoto wa kike nitamuachia ila sio wa kiume, hayo unayoongea hapa yatakuwa ni magumu kutimiza kama mwanamke atakuwa na mahusiano mengine, yani hatapewa uhuru wakutosha kuongea na wewe kisa umezaa nae mkuu.. maana wanaume wengi tunaamini ukiruhu ukaribu uliopitiliza na mzazi mwenza.. kunakuwa kunauwezekano mkubwa wa kupasha kiporo [emoji23]

Vilevile ukisema utume pesa.. malezi ya mtoto sio pesa peke yake.. kama ni mtoto wa kiume ni rahisi kukosa tabia nyingi za uanaume kwasababu hata akimpata baba wa kambo itakuwa ni nadra sana kumlea ipasavyo kwa kuogopa kuchukiwa n.k

So my take.. ni kheri umlee mwenyewe lakini likizo awe anaenda kwa Mama yake, hiyo itawaletea amani pande zote mbili.. lakini pia kwa mtoto wa kike mama akikosa mume wa kumuoa atamjengea tabia ya kuchukia wanaume mtoto wake hali itakayo sababisha mtoto akikua asiwe na mahusiano ya kudumu pia.
 
Umetuvimbisha kichwa tuliotelekeza watoto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ahsante kwa taarifa, ila hayanaga muongozo...
 
Kwanza anaemyang'anya mtoto mwanamke ana uhakika ni damu yake? Siri ya mtoto anaijua mama, kamwe usimnyang'anye mtoto!! Ulimsaidia kubebe hiyo mimba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok,
Kikubw uzinzi na uasherati haulipi,
Oa au olewa hata mke wa 1000,
Kikubw vigezo na mashart yakidhiwe, kuhalalishana kidini, kiserikal au kijadi.
 
Natamani watu wengi sana wangelisoma andiko hili. Watanzania bado tuna safari ndefu sana ya kujua kuhusu malezi ya watoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...Na kama mmegombana na Watoto' Wote wakalalia Kwako Mwaume na hawampendi mawa Yao wakichukuliwa ndio Sababu ya Kuachana kwenu, Unafanyaje Hapo??
 
Nitafute mwisho wa mwezi huu nikutupie hata elfu kumi
Kijana umeandika kitu ambacho nimekipitia almost 3 weeks
Ago lakini kwa uwezo wa Allah nilifanikiwa kwa hilo.
...Uliki solve namna Gani?...
 
Natumai kila kijana atakayesoma huu Uzi atakuwa na la kujifunza.Hongera mkuu kwa Uzi mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…