Usimnyang'anye mwanamke mtoto

...Ndio nataka Kumuuliza Mleta Uzi. Kwa hiyo waligombana na Mkewe na wakaachana, Yeye atataka Wanae wakuzwe na Mwana Mama Yao? Na Sio awakuze Mwenyewe??
Kumbuka Mama Yao ana Haki ya kuchagua Mwanaume yoyote awe Mume wake lakini Wafofo hawana Haki ya kuchagua Mwanaume yoyote awe Baba Yao!

Hilo nimeshaeleza, ukitaka mwanao mshawishi mwanamke akupe,
Mbona uliweza kumshawishi akakuvulie mpaka akazaa, usije niambie ulimbaka.

Uwezo uleule uliotumia kumzalisha basi utumie kuomba mtoto.
Akikataa, achana naye
 
Hata hivyo sheria inasema mtoto anakaa na mama mpaka miaka Saba ndipo uwe na uamuzi wa kumchukuwa. Ustawi wa jamii upo macho kuhusu hilo.
 
umenichekesha yule Dada ndo unampiga saundi hivo namwanao ndo katimiza siku 40 wamemtoa nje jana.....ulivokaa vile morogoro navokufahamu
 
😀😀😀

Nikiandikaga vile kuna watu nawachokoza hasa wapumbavu najua hawapendagi kuambiwa ukweli. Na Ukiwaambia wanataka uwalambelambe Kama vitoto vya Paka.

Hapo ndipo naamua kurusha makombora ili kuwaibua HAO mazombi
Zombie wa kwanza ni wewe kilaza....
 
Back
Top Bottom