YUKO CHINI YA ULINZI KWA MWENYEKITI.Hajui anadaiau anadaiwa......Ebu, ulimkopesha ukampa au yeye ndio alikupa.
Nilimpa pesa ujue hiii mchezo ya kina mama hii mtu anauwezo WA kupata elfu mbili kwa siku ila anacheza mchezo WA elfu kumi kEbu, ulimkopesha ukampa au yeye ndio alikupa.
Mkuu nadai lakini nishakua mnyonge manake sasa hapa nilipanga me ndo sina mke pekee anguYUKO CHINI YA ULINZI KWA MWENYEKITI.Hajui anadaiau anadaiwa......
Tatizo ulivomdai si ndio. Pole mkuu.Nilimpa pesa ujue hiii mchezo ya kina mama hii mtu anauwezo WA kupata elfu mbili kwa siku ila anacheza mchezo WA elfu kumi kila siku
Sasa hapo huna cha kujibu. Ila pole, ongea na mshikaji kiume, mke anaumaTatizo kudai Tu mume wake kaniuliza namkopesha mke wake kwa sababu ipi pasina kumpa yeye taarifa au nilikua namzguka
Tulia andika vizuri.....Nikukumbushe tuu,Mke wa mtu sumu.Nilimpa pesa ujue hiii mchezo ya kina mama hii mtu anauwezo WA kupata elfu mbili kwa siku ila anacheza mchezo WA elfu kumi k
Mkuu nadai lakini nishakua mnyonge manake sasa hapa nilipanga me ndo sina mke pekee angu
bro kumbe umeolewa...?🤣Tumefanyaje kwani.....