Usimchunguwe bata Utashindwa kumla

Kweli kabisa.....fumba macho utamfaidi zaidi na usitake kujua leo amekula nini !!ukipata kula kwa raha zako usichokore chokore ukajua yaliyojificha
 
hawa watatu waliofuatana ukimwacha mwenye pinc wana sura kama wameburuzwa kwenye majivu
 
Hivyo viatu ndo CL.Sasa sijui ndo origino au?WABONGO BWANA
 
Mmhhhhh, waliaga kwao kuwa wanakuja kufanya kazi mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…