Ninafanya biashara ya stationaries, Nina photocopy machine aina ya CANON IR 2318, Photocopy hii naitumia kwa shughuli mbili ambazo ni Phocopying na printing.
Napata shida kujua idadi ya kurasa zilizo printiwa (printed), mashine hii ina counter ambayo inaonyesha idadi ya kurasa zilizo toka. Counter ya Photocopying na Printing ni hiyohiyo hivyo inakuwa vigumu kujua zilizokuwa printed ni ngapi na photocopying ni ngapi
Naomba ushauri katika hili