Usilolijua juu ya majengo ya UDOM

[emoji15] [emoji15] [emoji15]
kwa hiyo?
 
Nini maana nzima ya uzi huu mbona sioni kitu hapa ngoja nitoke kidogo
 
Lile bunge nalo wangelijenga kama kanisa la mchungaji nabii wetu, sijui kwanini hawakukutafuta Heri lee!.
 
Yaani kuona hostel za social...ndio ukaamulia kuja kufungulia uzi hapa!!!

Sio mbaya sawa!!

Je ungeziona na hostels za CIVE UDOM??
Nadhani ungestick kabisa

Huyo bwana anatumia vibaya biblia.
 
Mtoa mada ni wachache mno watakaokuelewa ingawa kiukweli kuna siri nyingi sana duniani wengi wetu hatuzijui.Watakushutumu na kukukashifu tu lakini wewe kazi yako ni kuhabarisha,suala la kuamini au kutoamini liasikupe shida.
 
Mimi nimekuelewa sana, japo watu watakutukana amini wapo tuliokuelewa. Nimesoma Udom 2010 na kila semister tulikuwa tunaaga mwili wa mwanafunzi aliefariki
 
We jamaa Mimi nimesoma UDOM 2009-2012 acha uongo siyo kila semister na hata kama ingekuwa kweli chuo kilikuwa na wanafunzi zaidi ya 10,000 kutokea vifo ni kawaida kwenye population kubwa.
By the way hakuna 666 hapo imani inafanya uonr hata ambacho hakuna.
You only see what you want to see...
 
Uongo wangu upo wapi sasa wakati umeshasema chuo kilikuwa na population kubwa hivyo watu kufa ni kawaida. Unaniita muongo alafu unakubali kwamba vifo vilikuepo.

Then i see what i want to see
 
Alafu usipende kukaa tu ndani ya box, jaribu kutoka nje ya box jifunze vya darasani na vya ulimwengu pia. Mtu kama wewe hata kinachoendelea Tanzania hukijui na hauwezi kifahamu maana umeridhika na hapo ulipo
 
Hamna cha box wala chupa the good thing haya mambo nimeanza yafuatilia long time ago enzi hizo hata internet adimu early 2000's makala kwenye gazeti za Rai. Since hapo nimesoma haya mambo saana saana usifikiri uko informed kuliko wengine.
 
Mimi nimekuelewa sana, japo watu watakutukana amini wapo tuliokuelewa. Nimesoma Udom 2010 na kila semister tulikuwa tunaaga mwili wa mwanafunzi aliefariki
So unataka kusema kwamba chuo kilikuwa kinafanya kafara au sijakusoma vzr???
 
Hamna cha box wala chupa the good thing haya mambo nimeanza yafuatilia long time ago enzi hizo hata internet adimu early 2000's makala kwenye gazeti za Rai. Since hapo nimesoma haya mambo saana saana usifikiri uko informed kuliko wengine.
Soo unaumri sawa na Magu?
 
Hamna cha box wala chupa the good thing haya mambo nimeanza yafuatilia long time ago enzi hizo hata internet adimu early 2000's makala kwenye gazeti za Rai. Since hapo nimesoma haya mambo saana saana usifikiri uko informed kuliko wengine.
Hongera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…