Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,342
- 34,732
Usikute huyu abuduli ni vice president kivuli sisi wananchi hatujui.
Maana si mara moja si mara mbili anamuwakilisha Samia huko nje ya nchi licha ya kutotambulika serikalini.
Sasa je kama jamaa sio vice president kivuli je huko huwa anakwenda kumuwakilisha rais kama nani?
Hii nchi bhana kuna watu wanapenda kujiamulia mambo kimabavu cha ajabu vyombo vya usalama wa nchi vimekaa kimya au nao wanapewa ganji yao ndio maana wameshikwa wakashikika?