Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,951
- 61,758
nitoe hapo mi nishampata mwenzangu tunatarajia kupata mtoto,, nafanya bby shower mwezi ujao nikikupa mualiko utakuja?
Nije kufanya nini kwenye mapenzi yenunitoe hapo mi nishampata mwenzangu tunatarajia kupata mtoto,, nafanya bby shower mwezi ujao nikikupa mualiko utakuja?
kushuhudia zao letuNije kufanya nini kwenye mapenzi yenu
Awese kunesanesaSubirii wanakujaa, ko kigezo ni uremboo tuu au?
😂😂😂
Ndoa inaondoa msongo wa mawazoKATA ndoa
Ndoa ni utapeli
Ndio maana nakupenda, ndio vitu vyagu hiviSay no more bebe.🤑🤑.View attachment 3599475
Say no more bebe.🤑🤑.View attachment 3599475
Achana na hao, njoo ule mema ya shambaninitoe hapo mi nishampata mwenzangu tunatarajia kupata mtoto,, nafanya bby shower mwezi ujao nikikupa mualiko utakuja?
Mapori ni mengi mkuu, yanahitaji vijana wakuchana mbaomkuu wanawake hawajakutosha tu mpaka hii June 2026?
Kuzimaliza peke yangu siweziGunia 15 tu?
Tena za mpunga😀
Nimevuna mpunga mkuuWewe jamaa bila shaka nyuzi zako hua unaziandika huku ukiwa umefumba macho.