Watu wanao hitaji supervision ni wale wanaofanya kazi Sensitive sana ambazo hazihitaji makosa sana mfano kama Daktari anafanya Upasuaji.I can work independently with minimal supervision
Hii sio pressure mkuu hii ni higher supervision. Under pressure unashinikizwa, maliza maliza.. au unaambiwa tu hii kazi nataka mpaka kesho uimalize!. Alaf usiku anakupigia simu kukumbushia... unahimizwa kama hutaki vileHapa huwa tunakosea sana sana.
Work under pressure ?
Hivi nyie wasaka ajira kama mimi huwa mnaelewa maana yake?
View attachment 3066588
This is a real meaning of work under pressure
This is what we call under high supervisionHapa huwa tunakosea sana sana.
Work under pressure ?
Hivi nyie wasaka ajira kama mimi huwa mnaelewa maana yake?
View attachment 3066588
This is a real meaning of work under pressure
Vp kiongozi tupia mzigo mpyaHii sio pressure mkuu hii ni higher supervision. Under pressure unashinikizwa, maliza maliza.. au unaambiwa tu hii kazi nataka mpaka kesho uimalize!. Alaf usiku anakupigia simu kukumbushia... unahimizwa kama hutaki vile
Ni situation moja mbaya sana mwisho wa siku unajikuta unagoma kufanya kwan wewe sio mtoto
Mzigo gan mkuuVp kiongozi tupia mzigo mpya