ben milazo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 995
- 678
umsahau usiku ndo wakati watu wanaongeaa na mungu wao na salaaa zinafikaa sawa sawaaaaaa kabisaaaa
Weee charminglady Dubai ndotoni huwa unaenda kufanya nn??? Leo nichukue twende wote
Haya bhnWengine huwa tunaota tuko Dubai...
Umemmiss atoto eeh!Kiwatengu anapiga story na atoto
Yaani huyu dada nampenda sanaaa cjui kwa nn nataman kumuona tuuUmemmiss atoto eeh!
Oooh!! Muombe ukamuone tu.Yaani huyu dada nampenda sanaaa cjui kwa nn nataman kumuona tuu
Heli yakoWengine tunakesha tunasali
Kweli kabsaa hakika nipo tayarOooh!! Muombe ukamuone tu.