Ah! bacha, yaanai wewe ni mgongo tu! Yaani kakugeukia upande mwingie, na ukimshika sehemu fulani anageuka tena kuashiria hataki hata kushikwa hapo. Na pengine vile vile. Siyo mgongo tu
Wataalam,
Baada ya kupata mamboz katika threaad zilizopita na zikafanya kazi vema, Ngoja tena JF iendelee kujenga Ndoa.
Hapa tena kuna hili; Usiku umeusubiri kwa hamu kubwa, umefika. Mmefiak 6 x6 , na unahitaji kula tunda, lakini mwenzio kakugeuzia mgongo, na kumanzishia anajigeuza kwa kutotaka. Je ufanyeje??
Au ni ruhusa kubaka??? (hasa kama mkeo)
N la pili je, Kwa afya Ni mara ngapi kwa Siku/ au kwa wikki?? au kila siku
:tape::tape::tape::tape::tape:
GUDI MONINGI
Ruksa kumbaka mkeo? Kwani kuna tofauti gani kati ya kumbaka mkeo na kumbaka mwanamke asiyekuwa mkeo? Naona kama hakuna tofauti. Lakini sheria zetu zimekuwa kimya juu ya ubakaji ndani ya ndoa. Whether or not ni ruksa kumbaka mkeo inategemea unambaka ukiwa nchi gani. Hii ni kwa sababu ubakaji ndani ya ndoa ni kosa la jinai kwenye nchi nyingi. Baadhi ya nchi hizo ni Argentina, Australia, Austria, Barbados, Belize, Bulgaria, Canada, Croatia, Cyprus, Denmark, Ecuador, United Kingdom, the Fiji Islands, Finland, France, Georgia, Germany, Honduras, Hong Kong, Ireland, Israel, Macedonia, Mexico, Namibia, Nepal, the Netherlands, New Zealand, Norway, the Philippines, Poland, South Africa, Spain, Sri Lanka, Sweden, Taiwan, Trinidad/Tobago, US, Uzbekistan, na hata Zimbabwe.
mweh..nyie mnaofanyaga kila siku, mnakula nini wenzetu?:bump:
mara moja kwa wiki mbili so marambil kwa mwez
zngatia giza totoroooooo (only night)na chumba kifungwe wakat mna doo
kwa wanandoa mfanye pale tu mnapotaka kupata mtoto tu:yield:........asiye owa asifanye kabisa.....ikimbieni zinaaaaa vijana
Kula chakula chenye mchanganyiko huu. Mtama +mahindi, ngano na uwele vyote visikobolewe usage pamoja: Mboga uwe vegtelian utafanikiwa m,baba.mweh..nyie mnaofanyaga kila siku, mnakula nini wenzetu?:bump:
duh! hii inawezekana kweli?kwa wanandoa mfanye pale tu mnapotaka kupata mtoto TU:yield:........ASIYE OWA ASIFANYE KABISA.....IKIMBIENI ZINAAAAA VIJANA
Je, ndoa yenu ina muda gani? Ni kawaida ya mwenzio? Kajifunze kuhusu body language, huenda anakupa huduma ya tiGO Pesa.....! Vinginevyo, asubuhi na mapema uende kwa balozi, na ikishindikana siku hizi kata zimesogezwa sana (hata kwa miguu unafika), nenda huko ukamfungulie kesi ya kukuhujumu haki yako, maana atakuwa yeye alipata mchana au muda mfupi uliopita....!Wataalam,
Baada ya kupata mamboz katika threaad zilizopita na zikafanya kazi vema, Ngoja tena JF iendelee kujenga Ndoa.
Hapa tena kuna hili; Usiku umeusubiri kwa hamu kubwa, umefika. Mmefiak 6 x6 , na unahitaji kula tunda, lakini mwenzio kakugeuzia mgongo, na kumanzishia anajigeuza kwa kutotaka. Je ufanyeje??
Au ni ruhusa kubaka??? (hasa kama mkeo)
N la pili je, Kwa afya Ni mara ngapi kwa Siku/ au kwa wikki?? au kila siku