mcrounmj
JF-Expert Member
- Feb 26, 2016
- 380
- 885
- Thread starter
- #61
Yaani wewe ni kama Mimi. Kuna siku nilikaa chini nikapiga esabu pesa niliyoliwa kwa kubeti ningekuwa tajiri mkubwa sana. Nimeamua niitafute pesa bila kubeti full stopKubet sitorudia nilifilisika mtaj wa tigo pesa tatu nimeanza kuunga unga upya kwa tigo pesa moja watu wakiniuliza mbona mtaj hamna namewekeza kweny kilimo kumbe siri ninayo Mwenyew