Usiku ulioacha alama kwenye maisha yangu katika medani za utafutaji

Pope sana mkuu, katika siku pia watu hawatoisahau ni siku ile sio msimu huu ulioisha... Hapana ule mwingine Man city yuko form lalipigwaga tena na Lyon hatua ya makundi. Kuna mtu alipoteza zaidi ya milion.
Hivi ukiweka Million 1 unaweza pata sh ngapi hivi?, watu huwa wanapata ?, mbona ni risk sana🤔
 
Mimi niliwahi kuwa ninabet basket nikawa ninakula sana halafu mimi nilikuwa sibet chini ya 20k mpaka 200000 kwa mechimoja au mbili nikawa ninakula sana yani halfu nilikuwa nabet quater to quater yani mpaka mechi inaishanimeshakula sana.
Nikaamua kutenga pesa kabisa ikawa nimeweka milion kwenye betpawa,kila nikila natoaianabaki milioni.
Kuna siku bwana nikatupia mkeka wa laki nani ukaliwa first quater, ikawa imebak kama lak mbili na ushee, nikataka irudisha hiyo ela yangu nikahamisha ela toka akaunti nikaongeza nikatupia mwingine ukachanika.
Nikaongeza tena ukachanika ilikuwa mwaka jana mwezi wa 11 nadhani.
Toka siku hiyo niliapa sitobet tena na sijawahi kubet mpaka sasa. Asante Mungu nimeondokana na kubet kwakweli. Ile ela iliniuma sana sana nikawaza bora hata ningeenda mnunulia maza flani anaishi mtaani earing aid.
Halafu ukiliwa pesa nyingi ukataka kurudisha lazima upigwe tena.
Aisee, na naskia pesa iliyopatikana kwa njia ya kubet huwa haidumu ni kweli mkuu?, ulifanyia chochote cha maana ulivokua ukipata?

Polee, unaweka mkeka wa laki 8??, watu mna pesa jamani.
 
Kwakweli 😀 na si kwa ubahili huu, kuliko kumpa mhindi ningekua nishafungua lile banda langu la chips. Ila si mbaya atakua makini sasa💪
Lakini utajisikiaje kama umeweka mil1 then umepata mil 3- 5?

Ktk utafuta wetu tunarisk direct au indirect. Hujawahi kuwekeza kwenye biashara au chochote ukala hasara ya muda na pesa bila kurejesha chochote?
 
Hivi ukiweka Million 1 unaweza pata sh ngapi hivi?, watu huwa wanapata ?, mbona ni risk sana🤔
Unataka ujaribu? Usije laza watoto njaa🤣🤣.

Inategemeana na point team ilizopewa point huwa kati ya 1.01 hadi 10+
So mfano. The blues tunacheza, tumepewa pont 1.5 ukiweka milion utapata million 1 na lak 5.
Sasa hapo ni ashinde. Tukipigwa kama siku ile na Everton imekwenda hiyo.😀
 
Najaribu kushawishika ila inakataa, yaani niweke M 1 kabisaa mimi huyu hapana aisee😀 naweza mfata huyo muhindi anilipe..
 
Aisee, na naskia pesa iliyopatikana kwa njia ya kubet huwa haidumu ni kweli mkuu?, ulifanyia chochote cha maana ulivokua ukipata?

Polee, unaweka mkeka wa laki 8??, watu mna pesa jamani.
Nilikuwa mpaka mechi inaisha nakuwa nimekula lak mpaka lak 3, hapana hakuna la maana nimefanya zaidi tu siku moja niliweka mkeka nikasema huu mkeka ukitema hii ela yote naenda mfanyia mwanangu shopping, na kweli nikaidouble za zaidi maan basket ina option ya kuotea timu gani itashinda na magoli yatazidi kiiasi gani au haytazidi kiasi gani ukipatia pesa inaweza double
 
Simulizi yako inasisimua japo kwa watoto wa mama wataona chai sabab hawazijui hussle za life. All in all kubet ni kitu sitokuja thubutu kujaribu wala kujifunza.
Ni bora nimastabet kuliko nibet
 
Back
Top Bottom