hulali lakini unaotamitongozo ya kizamani
Ha ha ha...hulali lakini unaota
Yeah...siyo kwamba Mtongozwaji anakuwaga haujui huo uongoHa ha ha...
yani anaetongozwa mwenyewe anaona kbs huu ni uongo mkubwa..!!
Ndio zilikuwa zetu. ..jamaa yangu aliwahi kujibiwa kama anamuona kwenye glass ya maji ayamwage asinywekizamani sana hii
wengine wanatumia shortcut kwa mgangaaa!! he he mapenzi kiboko...SIKU HIZI MNATONGOZANA KWA SIMU MNAACHANA KWA SIMU
Sasa kama unamfahamu?Mwenye mwandiko huu namfahamu.
Bila hiyo sentesi hupati MTU. Walikuwa wanapenda sana kuisikiahulali lakini unaota
Nitamwambia akule tamu yakoSasa kama unamfahamu?
We lofa nn mim sio ke.Nitamwambia akule tamu yako