Usiku mwema.

....waziri wa mwenye dhamana ajiuzuru tafadhali...
 
duh kazi kweli kweli maji ya kuosha miguu amna ya kufua shuka anapata wapi?
 
Hapa kwa picha hii mtasema mengi lakini ni hali halisi za baadhi ya Watanganyika inayokuja hivi punde huko Dodoma japo chama cha Kijana hakipendi kabisa.
 
Kumbe huku rahaa hiv nilikua sijuiiiiii
 
ikumbikwe tu kwamba kuna maeneo ili maji yapatikane n kutembea 10km, na ndala kuzipata huyu n mnadan mara moja kwa mwezi na akauze mbuzi ama kondoo ndo apate pesa, so asilaumiwe kwa muonekano wa miguu yake , n matokeo ya maisha bora kwa kila mTz
 
Imagine umetoka na mtoto wa geti kali akirudi kwao asubuhi full michubuko
 
Hapa kwa picha hii mtasema mengi lakini ni hali halisi za baadhi ya Watanganyika inayokuja hivi punde huko Dodoma japo chama cha Kijana hakipendi kabisa.

Nakupa mfano wa Lindi huu hapa ivi hapa unaweza kuoga kweli kama maji ni shida ivi
 
Jerrymsigwa tena akienda kupiga kura anachagua MaCCM!!
Jamani watu waelimishwe wajue haki zao, miaka 50 ya uhuru watu wanachota maji kwa shida hivyo??
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…