Ahsante sana mdogo wangu CONTROLA tumezipokea hizi baraka kwa mikono miwili, nasi kwa moyo mkunjufu na sauti ya unyenyekevu kabisa tunasema, 'tutavumilia na wanaume wetu wapambanaji mpaka tone la mwisho la uhai wetu'..!! Njopino njoo uone we si unasemaga hawapo wameisha?