Hujachelewa kazini wewe? Amka kijukuu na kimbilia train utajiju.Hahahaa jaman
Hujachelewa kazini wewe? Amka kijukuu na kimbilia train utajiju.Hahahaa jaman
Na wewe pia..... Ila msisahau kesho matrafki wakumwaga barabarani, so hakikisha gar yako iko salama .Nawatakia usiku mwema. Hakuna aijuae kesho yake,tuombeane uzima.
View attachment 473901
Nilifikiri upo Minus 8 hours country.Hahaha madam usiku wote huu