Usiku huwa mrefu sana endapo

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,084
Uko pekeyako kitandani
Huna usingizi
Huna wa kuchat naye
Simu haina bundle na maduka yamefungwa na kwenye mtandao huna salio na unatamani kuingia JF na simu imezima chaji na umeme umekatika..


Usiku huwa mrefu saaaaana....!!!
 
HahaaA simu imeisha chaji inanihusu sana
 
Kuna mwaka nlikuwa naenda mwanza kwa basi halafu likaharibika porini yalinikuta ya kukosa vocha...dah.
 
Kuna mwaka nlikuwa naenda mwanza kwa basi halafu likaharibika porini yalinikuta ya kukosa vocha...dah.

yalinikuta kama hayo kiteto na ilikuwa ndo mara yangu ya kwanza kwenda huko na mwenyeji wangu akachelewa kufika na cm ikawa haina chaji na mtandao unasumbua
 
Uko pekeyako kitandani
Huna usingizi
Huna wa kuchat naye
Simu haina bundle na maduka yamefungwa na kwenye mtandao huna salio na unatamani kuingia JF na simu imezima chaji na umeme umekatika..


Usiku huwa mrefu saaaaana....!!!


Umefikiria nini mkuu? Nishakumbwa na hali hiyo!
 
Umejuaje, yaani unafanya kuhesabu bati juu na kujua makosa yote aliyofanya fundi wakati wa ujenzi.Mara hii kona imepinda, haikustahili kuwa hivi.
 
Umejuaje, yaani unafanya kuhesabu bati juu na kujua makosa yote aliyofanya fundi wakati wa ujenzi.Mara hii kona imepinda, haikustahili kuwa hivi.

Muda huu kuna watu wanakutana na hiyo hali na hawana jinsi zaidi ya kuomba tu kuche haraka
 
Hasa uwe na safari ya kupanda ndege kwa mara ya kwanza wallah usingizi hauji ng'oo
 
Uko pekeyako kitandani
Huna usingizi
Huna wa kuchat naye
Simu haina bundle na maduka yamefungwa na kwenye mtandao huna salio na unatamani kuingia JF na simu imezima chaji na umeme umekatika..


Usiku huwa mrefu saaaaana....!!!

tell me abt it,hiyo inanitokea sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…