Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,599
- Thread starter
-
- #61
Si walisema yanayokaba ni yale manini sijui nimeyasahau majinaKuna maleria nakuna majini hujawai kutana nayo tu ..linakukaba kabisa unahangaika namsaada hupati linakuja kukuachia mpaka unahema najasho linakutoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umh !!usifikiri huko mwaya utajikuta kila siku kwa waganga wa kienyeji! hyo kukosa hamu ni kawaida hatujawa mambwa tutake kila mara! me mtu anieleze habari za majini mahaba namuona yy mwenyew ni mahaba jini
Hebu niambie nini hunitokea usiku,,,umesoma uzi ?
Shukrani sananimesoma! hebu nenda kwa Dk mamy! nataman wanasayans waje waielezee hii !mie nahakika inahusianisha kbs na ubongo kwa 100%!kisayansi hii ipo tu! pole! nilikuwa nakualert usijazwe habari za majini mahaba...
Hamna lolote wewe tu umejitia hofu hamna lolote, free your mind the rest will follow
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema tu biblia..! Maana majini hayajui lugha ya biblia koran yanajua vyema lugha yake(kiarabu) maana muasisi wa dini hayakuwahi kuwa na ugomvi nae..! Ila Christos ukimtaja kwisha habari zao..Mimi kwa ufahamu wangu kuna viumbe wa usiku wanakusumbua ingawa sifahamu kwa lengo lipi.......
Jaribu kulala na kitabu cha imani yako upande wa kichwani kwako.....
Hii njia imesaidia watu wengi sana....
Hilo hilo jini mahaba .linaweza kukukaba .Si walisema yanayokaba ni yale manini sijui nimeyasahau majina
Ina maana huwa nakuwa na woga ,,hapana kabisa maana siku ingine hulala nyumba nzima peke yangu na nalala vyema tu na wala siogopi kitusure!ubongo ukiulisha na wenyew unarespond negative! huenda ana woga /hofu fulani
Sema tu biblia..! Maana majini hayajui lugha ya biblia koran yanajua vyema lugha yake(kiarabu) maana muasisi wa dini hayakuwahi kuwa na ugomvi nae..! Ila Christos ukimtaja kwisha habari zao..
+198656666333
Mim sijawahi kabwa kabisa
So imani ww hujakutana nahivo vitu ..jitu linakukaba unahangaika unapigana nalo lunakuachia mpaka unahema najasho linatoka usema maleria gani hiyo ???tatizo ni IMANI!
Kabisa mkuu, mambo ya ushirikina mimi huwa siyapi nafasi kabisa, kwanza sijui kama bado yana uzito huo aliouta huyu ndugu,, kuna mwanafalsafa mmoja aliwahi kusemasure!ubongo ukiulisha na wenyew unarespond negative! huenda ana woga /hofu fulani
Kwanini mkuu..??Jhahahahaha nimcheka nusura nilie !hahaahhahaha uwiiiii! had napaliwa jaman