Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
Mh!kazi kwelikweli,kuna mamluki wengi sana,Mwanakijiji ni mmoja wao,jamaa hajulikani yuko wapi na anajiaibisha sana!!
Hata mimi nimechoka, kila mara Chadema. Jamani umefika wakati wa kujadili Hoja zenye tija kwa Taifa, ili tuweze kuikomboa Tanzania kutoka ktk Hili lindi la Ufisadi,umaskini, ufinyi wa Mawazo wa viongozi wetu,
Mgao wa umeme na mengine mengi. Ya chadema tuwaachie wenye chama chao watayamaliza wenyewe.
Huku wenzenu wanapora madini.
Wanasainishana mikataba feki.
Wanafilisi mashirika.
Wanalipana malipo hewa.
Wanafanya magendo.
Wanakwepa ushuru
Mmekalia Chadema.
Hamuwezi kujadili mambo ya maana yanayohusu Tanzania. Mnajadili Chadema.
Mnatia aibu.
Nakushangaa kuwa hujuwi kuwa JF ni ya Chadema or rather Mbowe. Sasa unategemea nini zaidi ya Chadema humu JF?
Halafu nimeiona hii msg yako kuhusu Mzeemwanakijiji,
"Sikujua Kama Mzee Mwanakijiji Naye ni Mtu wa Majungu. Kama Chadema Wanasema Hakifai, Basi Watuambie Chama Bora Kuliko Chadema, Maana Mwanakijiji na Wenzake Wanajifanya Kujua Kila Kitu!!!!!!! Vinginevyo Watakuwa Wanafanya Unafiki; Au Wanyamaze Kimya!!!"
Ina maana hamjauona ukweli? kila siku nnavyo-waambia Mwanakijiji ndio Pumba namba Wani humu JF nyie mnakataa.
Binafsi sioni ubaya wowote wa kuandika na kujadili yanayohusu Chadema. Wasiwasi wangu na onyo kwa Chadema, wajaribu kutatua matatizo yaao ndani ya chama. Kuanguka kwa NCCR kulitokana na migogoro hiyo, kwa hivyo wajenge Chama wasijewakafikwa na kama yaliyowafika NCCR-Mageuzi.Chadema ni TAIFA KUBWA, Chadema ndiyo chama pekee cha upinzani Tanzania, lazima mafisadi wakiugue.