Usiku Chadema. Asubuhi Chadema. Mchana Chadema. Jioni Chadema.

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Huku wenzenu wanapora madini.

Wanasainishana mikataba feki.

Wanafilisi mashirika.

Wanalipana malipo hewa.

Wanafanya magendo.

Wanakwepa ushuru

Mmekalia Chadema.

Hamuwezi kujadili mambo ya maana yanayohusu Tanzania. Mnajadili Chadema.

Mnatia aibu.
 
CHADEMA inatunyima usingizi mafisadi mpaka tuiue kabisaaa ndo tutalizika!
 
Hata mimi nimechoka, kila mara Chadema. Jamani umefika wakati wa kujadili Hoja zenye tija kwa Taifa, ili tuweze kuikomboa Tanzania kutoka ktk Hili lindi la Ufisadi,umaskini, ufinyi wa Mawazo wa viongozi wetu,
Mgao wa umeme na mengine mengi. Ya chadema tuwaachie wenye chama chao watayamaliza wenyewe.
 
Mh!kazi kwelikweli,kuna mamluki wengi sana,Mwanakijiji ni mmoja wao,jamaa hajulikani yuko wapi na anajiaibisha sana!!
 
Kwa mantiki ya wengi kutaka kuona mabadiliko ya kweli na wengine kinyume chake, Chadema kwa sasa ni mithili ya mwembe wenye embe mbivu. Lazima zipopolewe tu na watunzaji wa mwembe (Slaa & co) waikubali na kuikabili this new premium status!

Umaarufu na uzuri vina gharama zake....so Chadema msilalamike sana. Just learn to live with it!
 
Hata mimi nimechoka, kila mara Chadema. Jamani umefika wakati wa kujadili Hoja zenye tija kwa Taifa, ili tuweze kuikomboa Tanzania kutoka ktk Hili lindi la Ufisadi,umaskini, ufinyi wa Mawazo wa viongozi wetu,
Mgao wa umeme na mengine mengi. Ya chadema tuwaachie wenye chama chao watayamaliza wenyewe.

suala nikuwa sisiemu kututawala ni kuwa tuko kwenye maafa, sasa kwa nini tusiwaongelee waliokuwa na nia ya kutuweka kwenye uelekeo mzuri?
 
Huku wenzenu wanapora madini.

Wanasainishana mikataba feki.

Wanafilisi mashirika.

Wanalipana malipo hewa.

Wanafanya magendo.

Wanakwepa ushuru

Mmekalia Chadema.

Hamuwezi kujadili mambo ya maana yanayohusu Tanzania. Mnajadili Chadema.

Mnatia aibu.

Nakushangaa kuwa hujuwi kuwa JF ni ya Chadema or rather Mbowe. Sasa unategemea nini zaidi ya Chadema humu JF?

Halafu nimeiona hii msg yako kuhusu Mzeemwanakijiji,

"Sikujua Kama Mzee Mwanakijiji Naye ni Mtu wa Majungu. Kama Chadema Wanasema Hakifai, Basi Watuambie Chama Bora Kuliko Chadema, Maana Mwanakijiji na Wenzake Wanajifanya Kujua Kila Kitu!!!!!!! Vinginevyo Watakuwa Wanafanya Unafiki; Au Wanyamaze Kimya!!!"

Ina maana hamjauona ukweli? kila siku nnavyo-waambia Mwanakijiji ndio Pumba namba Wani humu JF nyie mnakataa.

Mwanakijiji kazi kuandika habari za Chadema na Sisiem, hata kura hakupiga, Hebu tumewambieni mwanakijiji kuwa aandike habari zinazohusu maendeleo ya Taifa. Mwanakijiji Uchaguzi umesiha acha kuandika habari za uchaguzi. Tunakata upige kelele za maendeleo ya nchi
 
Nakushangaa kuwa hujuwi kuwa JF ni ya Chadema or rather Mbowe. Sasa unategemea nini zaidi ya Chadema humu JF?

Halafu nimeiona hii msg yako kuhusu Mzeemwanakijiji,

"Sikujua Kama Mzee Mwanakijiji Naye ni Mtu wa Majungu. Kama Chadema Wanasema Hakifai, Basi Watuambie Chama Bora Kuliko Chadema, Maana Mwanakijiji na Wenzake Wanajifanya Kujua Kila Kitu!!!!!!! Vinginevyo Watakuwa Wanafanya Unafiki; Au Wanyamaze Kimya!!!"

Ina maana hamjauona ukweli? kila siku nnavyo-waambia Mwanakijiji ndio Pumba namba Wani humu JF nyie mnakataa.

Safi sana Chadema wapo creative bana. CCM wana miaka sijui zaidi ya 50 lakini wameshindwa hata kubuni ka JF chao..duh..bravo chadema kwa kutuletea JF!
 
Chadema ni TAIFA KUBWA, Chadema ndiyo chama pekee cha upinzani Tanzania, lazima mafisadi wakiugue.
 
Chadema ni TAIFA KUBWA, Chadema ndiyo chama pekee cha upinzani Tanzania, lazima mafisadi wakiugue.
Binafsi sioni ubaya wowote wa kuandika na kujadili yanayohusu Chadema. Wasiwasi wangu na onyo kwa Chadema, wajaribu kutatua matatizo yaao ndani ya chama. Kuanguka kwa NCCR kulitokana na migogoro hiyo, kwa hivyo wajenge Chama wasijewakafikwa na kama yaliyowafika NCCR-Mageuzi.
Mkuu, hapo nyekundu nina wasiwasi. Mawazo yangu huku nikiheshimu mawazo ya wengine ni kuwa uimara wa Chadema hautatokana na kuviona vyama vyengine vya upinzani kuwa havina maana na kuvitenga. Uimara wa upinzani ni kushirikiana na sio kutengana. Kutengana kwa upinzani ndiko kunakoirahisishia "Chichiemu" kuchakachua kiurahisi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom