Hakuna cha ibada wala nn hapo,,, waswahili mmefata udaku tu...!!!
Apo ndo ujue watanzania hawapendi kujishugulisha,,,!!! unaacha kaz zako kufata umbea?? Ya ngoswe aachiwe ngoswe,,,!!!!
Kafanyeni kazi muendeze taifa mbele pumbavu nyie,, the world iz moving fast more than you do,,...........
Four weeks (04) consecutive ni kina Bashite na Gwajima tu humu ndani,., hakuna vingine vya maendeleo vya kuongea??? kwan wanawaingizia shing ngap??
TUMEWACHOKA BHANA HABARI ZENU IZO..... ka kaiba si yeye we fanya yako utoke