min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,820
- 165,544
Na pombe ni tamu kweli , kukopa ni nnje nnjeMkopa pombe huwa anakunywa hiyo pombe huku anaisifia kwa maneno..."hii pombe tamu kama sikopi"...!
Na pombe ni tamu kweli , kukopa ni nnje nnjeMkopa pombe huwa anakunywa hiyo pombe huku anaisifia kwa maneno..."hii pombe tamu kama sikopi"...!
Hakuna mtu anatoka Dsm na kumpeleka mwanaye akasome Katavi labda kama anampeleka akajiunge na Kambi ya JeshiUtakuta mleta mada yupo shekilango anapakia watoto wa shemeji yake waende shule katavi
Wegine wanakopa wapo sober kabisaPombe inakopwa baada ya mtu kulewa , wewe haumuelewi mkopa pombe ila hata yeye akiamka asubuhi haelewei alikopa kopa vipi pombe
Hadi unarudi na bili za madeni kwenye mifuko.Ugomvi wake nyumbani haulezeki.Na pombe ni tamu kweli , kukopa ni nnje nnje
mi sijaskiaMleta sledi ametuonya kufanya kidundulizo ni ukosefu wa hela kama ukosefu wa vitamini mwilini tu.
Rudia kusikiliza kwa makini katikati ya mistari utapata habari tu.mi sijaskia
Ukiogopa kufa hata chakula cha kesho utaogopa kununua na kuweka akibaKuna kufa ww 🙌