habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,755
Ama kwa hakika naisubiri hiyo siku kwa hamu. Amen!
umri wako basiAma kwa hakika naisubiri hiyo siku kwa hamu. Amen!
Amen,tutafanikiwa tuasante kwa kututia moyo na kuwatia moyo wale wanaousubiri
kwani ni kitambo tu mambo yatajipa ni kuwa wavumilivu tu
Amen,tutafanikiwa tu
Ama kwa hakika naisubiri hiyo siku kwa hamu. Amen!
subira yavuta heri
Amen,tutafanikiwa tu
atajibu tu maombiMungu na mbio......
kwani we ulifanyaje?nilikuona unaye au shetani kampora?wewe nawe una vituko haya
mafanikio yapo kotekote bestito
atajibu tu maombi
kwani we ulifanyaje?nilikuona unaye au shetani kampora?
Amen,tutafanikiwa tu
kabisa shetani anaiba bestito....hivi utapenda uchumbiwe leo ndoa kesho?jamani mbona umefika mbali huko bestito
mm sijui kitu hapo?
kwani shetani anapora wenzi wa maisha?