Hawa wanaotetea huu ujuha na uzwazwa wameishiwa sifa za kuoa au kuolewa. Ni sizitaki hizi mbichi mwanangu.#Kataa Ndoa sio slogan ya kimasiharamasihara usiikurupukie kama hujaielewa inahusu nini, kuna wanachama wanajiunga na chama hiki bila kujua vigezo na masharti ya chama hiki.
-Wapo wanaodhani ni chama kinachokataza kuwa na mwanamke kabisa.
-Wapo wanaodhani chama hiki ni uasi wa sheria za kidini. Wakisahau hata bible imesema usioe 1 Wak 7
-Wapo wanaodhani tunakataa ndoa sababu hatuna hela, wasijue kuwa na hela sio kigezo cha kuoa eg. CR7, Na simbalamasimba dangote.
Na wengineo wengi. Niwatoe tu hayo mawazo, hizo zote ni myths tu.
Kataa ndoa ni misimamo na maamuzi kabambe yasiyotetereshwa kwa namna yoyote as long as unaelewa kuwa ndoa ni utapeli.
Kataa ndoa haiwahusu mliokwisha kuoa na kuolewa kisha wakaachana, nyie muanzishe tu chama chenu.
Rais wa kataa ndoa popote ulipo nawasilisha
Itaendelea...
Cc: Intelligent businessman | komasava | Mallerina et al
Wengi ya wanachama wa hiki Chama Marinda yao yapo Matatani#Kataa Ndoa sio slogan ya kimasiharamasihara usiikurupukie kama hujaielewa inahusu nini, kuna wanachama wanajiunga na chama hiki bila kujua vigezo na masharti ya chama hiki.
-Wapo wanaodhani ni chama kinachokataza kuwa na mwanamke kabisa.
-Wapo wanaodhani chama hiki ni uasi wa sheria za kidini. Wakisahau hata bible imesema usioe 1 Wak 7
-Wapo wanaodhani tunakataa ndoa sababu hatuna hela, wasijue kuwa na hela sio kigezo cha kuoa eg. CR7, Na simbalamasimba dangote.
Na wengineo wengi. Niwatoe tu hayo mawazo, hizo zote ni myths tu.
Kataa ndoa ni misimamo na maamuzi kabambe yasiyotetereshwa kwa namna yoyote as long as unaelewa kuwa ndoa ni utapeli.
Kataa ndoa haiwahusu mliokwisha kuoa na kuolewa kisha wakaachana, nyie muanzishe tu chama chenu.
Rais wa kataa ndoa popote ulipo nawasilisha
Itaendelea...
Cc: Intelligent businessman | komasava | Mallerina et al
Unafeli JombiTulia we nyau de adriz
Kidumu cahama 🥰🥰#Kataa Ndoa sio slogan ya kimasiharamasihara usiikurupukie kama hujaielewa inahusu nini, kuna wanachama wanajiunga na chama hiki bila kujua vigezo na masharti ya chama hiki.
-Wapo wanaodhani ni chama kinachokataza kuwa na mwanamke kabisa.
-Wapo wanaodhani chama hiki ni uasi wa sheria za kidini. Wakisahau hata bible imesema usioe 1 Wak 7
-Wapo wanaodhani tunakataa ndoa sababu hatuna hela, wasijue kuwa na hela sio kigezo cha kuoa eg. CR7, Na simbalamasimba dangote.
Na wengineo wengi. Niwatoe tu hayo mawazo, hizo zote ni myths tu.
Kataa ndoa ni misimamo na maamuzi kabambe yasiyotetereshwa kwa namna yoyote as long as unaelewa kuwa ndoa ni utapeli.
Kataa ndoa haiwahusu mliokwisha kuoa na kuolewa kisha wakaachana, nyie muanzishe tu chama chenu.
Rais wa kataa ndoa popote ulipo nawasilisha
Itaendelea...
Cc: Intelligent businessman | komasava | Mallerina et al
Sijaona watu wapumbavu kama Wazee wa Kataa Ndoa ,yapo kama Mazombi yanahitaji muongozo na kusafishwa bongo zao kwa msafisho safi kabisa.hili ni jambo la wachache jombi jua tofauti ya raha na furaha