John mungo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2013
- 1,009
- 1,030
Duh kwaambao hawapendi kuomba msamaha na waongo wanafit wapi?■ INTROVERTS wengi ni:-
-Geniuses
-wakimya sanaa
-Hawakurupuki
-Wana marafiki wachache
◆ ILA PIA
-Wanapatwa sana na ugonjwa wa moyo
-Wanaonewa sana katika jamii
- Ni wagumu kusamehe na kusahau
-Inasemekana na kuaminika kuwa wengi hawaishi miaka mingi hasa kwa kufa kwa ugonjwa wa moyo na kupuuzia maradhi na magonjwa
■ EXTROVERTS
-Ni wenye kuongea sana hasa kwa wanayoyajua.
-Wana marafiki wengi sana
-wanasurvive miaka mingi kwani hawafichi sumu mwilini na rohoni kama Chuki, Hasira na kisasi
- Ni wepesi kusamehe na kusahau
◆ ILA PIA
-Wengi ni Vilaza
-Wengi ni wambea
-Mara nyingi hawawezi kujisimamia wenyewe wanahitaji support ya mtu au watu wengine.
JICHUNGUZE UKO WAPI?
Aaah, hapo sawa. Ulijivika vazi la harusi, wakajilengesha. So who lost the battle at the end??I fooled them by faking the reality...I was one step ahead......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Gen,naomba uwe shost yangu...
Nitakuwa silali njaa aisee...
Haya njoo sasa tufanye mubashara[emoji3] [emoji3] [emoji3] nataka live[emoji14] [emoji85]
khe yani hizo sifa za kwanza ni kweli iam the one■ INTROVERTS wengi ni:-
-Geniuses
-wakimya sanaa
-Hawakurupuki
-Wana marafiki wachache
◆ ILA PIA
-Wanapatwa sana na ugonjwa wa moyo
-Wanaonewa sana katika jamii
- Ni wagumu kusamehe na kusahau
-Inasemekana na kuaminika kuwa wengi hawaishi miaka mingi hasa kwa kufa kwa ugonjwa wa moyo na kupuuzia maradhi na magonjwa
■ EXTROVERTS
-Ni wenye kuongea sana hasa kwa wanayoyajua.
-Wana marafiki wengi sana
-wanasurvive miaka mingi kwani hawafichi sumu mwilini na rohoni kama Chuki, Hasira na kisasi
- Ni wepesi kusamehe na kusahau
◆ ILA PIA
-Wengi ni Vilaza
-Wengi ni wambea
-Mara nyingi hawawezi kujisimamia wenyewe wanahitaji support ya mtu au watu wengine.
JICHUNGUZE UKO WAPI?
Uombwe msamaha wewe kama nani?
dah tunafanana aise bt mwenza wangu ni extr mimi sifunguki ovyo hata kwa mama yagu sometime hata kwa mchungaj ni ngumu pia.i tell u imenisaidiaDaah umenifungua mimi ni INTROVERT........
Moja kati ya sign kubwa napenda kushinda ndani siku nzima na kupendelea sehemu zisizokua na misongamano ya watu endapo nitatoka nje
■ INTROVERTS wengi ni:-
-Geniuses
-wakimya sanaa
-Hawakurupuki
-Wana marafiki wachache
◆ ILA PIA
-Wanapatwa sana na ugonjwa wa moyo
-Wanaonewa sana katika jamii
- Ni wagumu kusamehe na kusahau
-Inasemekana na kuaminika kuwa wengi hawaishi miaka mingi hasa kwa kufa kwa ugonjwa wa moyo na kupuuzia maradhi na magonjwa
■ EXTROVERTS
-Ni wenye kuongea sana hasa kwa wanayoyajua.
-Wana marafiki wengi sana
-wanasurvive miaka mingi kwani hawafichi sumu mwilini na rohoni kama Chuki, Hasira na kisasi
- Ni wepesi kusamehe na kusahau
◆ ILA PIA
-Wengi ni Vilaza
-Wengi ni wambea
-Mara nyingi hawawezi kujisimamia wenyewe wanahitaji support ya mtu au watu wengine.
JICHUNGUZE UKO WAPI?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mshana jr pole sana jombaNipo fungu la pili ndo maana sina gonjwa la moyo wala mapafu. Nisaidie kumpa pole ndugu yangu mshana jr kwa yalomfika
Mmmh, introvert gani anajiamini namna hiyo??? Wewe unatuzingua tu hahah...Kama introvert! Mkuu mbona siku hizi hutupii mawe humu kama kawaida yako?