Kumbe mganga hajigangi....[emoji87] [emoji87]Tunatofautiana tabia hulka mitazamo na maono...kuna watu ambao ni INTROVERT(Wasiri) na EXTROVERT(wafingukaji)hawa hawakai na jambo rohoni huwa hawarembi
Nikwambie kitu rafiki funguka kwa mtu unayemwamini baada ya kujidhihirisha kuwa anaaminika...usijifunie kwa public ambayo huifahamu ambayo itakusoma lakini wewe huwezi kuisoma
Tupo kwenye mtandao huru lakini tuwe makini na watu tunaowasiliana nao
YAMENIKUTA but I was smart and I managed it..
Take it from me si kila mmoja ni mwema kwako[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ohoooooo.....[emoji87] [emoji87] [emoji87]Si umroge tu
Jifunze kua risk takerAsante kwa kutukumbusha. Kiukweli kumwamini mtu usiemjua ni vigumu Sana na wengi hawaaminiki
Kwahiyo nawewe upo makini na huyo ulie nae....[emoji15] [emoji15]pole mshana, sio kila mtu ni wa kumuamini ata hawa tunaokutana nao ni kuwa nao makini tu.
Mkuu...hata mm Niko hvyoo...
na hua inanicost sana..
na nilishaonywa Ila sisikii...
yaani wewe ni muaminifu Ila unaemuamini ni chui Mwenye ngozi ya Kondoo
Kaka Mshana tudodosee yapi yalikukuta ili nasi utupe ututoe ukungu wa kufikiri ni jambo gani lililo kukutaTunatofautiana tabia hulka mitazamo na maono...kuna watu ambao ni INTROVERT(Wasiri) na EXTROVERT(wafingukaji)hawa hawakai na jambo rohoni huwa hawarembi