Usijifunue....!

Usijifunue....!

Tunatofautiana tabia hulka mitazamo na maono...kuna watu ambao ni INTROVERT(Wasiri) na EXTROVERT(wafingukaji)hawa hawakai na jambo rohoni huwa hawarembi

Nikwambie kitu rafiki funguka kwa mtu unayemwamini baada ya kujidhihirisha kuwa anaaminika...usijifunie kwa public ambayo huifahamu ambayo itakusoma lakini wewe huwezi kuisoma

Tupo kwenye mtandao huru lakini tuwe makini na watu tunaowasiliana nao
YAMENIKUTA but I was smart and I managed it..

Take it from me si kila mmoja ni mwema kwako[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kwa hiyo mkuu umefunuliwa!!pole sana mtani wangu
 
Pole sana kaka....
 
Usitegemeee mtu atakutunzia siri yako ambayo wewe mwenyewe umeshindwa kuitunza...NEVER
 
Pole sana mkuu yan ukisikia kunitoa upepo ndio leo...kama nimemwagiwa maji harusini
 
Daah umenifungua mimi ni INTROVERT........
Moja kati ya sign kubwa napenda kushinda ndani siku nzima na kupendelea sehemu zisizokua na misongamano ya watu endapo nitatoka nje
Ni sawa mkuu, in psychological point of view ua an Introvert.
 
Back
Top Bottom